info@quickinvestment.co.tz

Tulipotembelewa na taasisi isiyo ya kiserikali ya MEDA

Share

Picha ya pamoja tulipotembelewa na taasisi isiyo ya kiserikali ya MEDA kuangalia jinsi mafuta yetu ya alizeti yanavyozalishwa katika kiwanda chetu kilichopo mkoka mkoani Dodoma