Mh Job ndugai akitoa neno katika hafla iliyofanyika katika ofisi za QIL iliyoandaliwa na wizara ya viwanda na biashara kwa kushirikiana na veta , unido na sido katika uzinduzi wa mashine ya kuchuja mafuta ya alizeti Mkoani Dodoma’’